HAYA NI BAADHI YA MANENO ALIYOONGEA BLOUDER MONTANA JUU YA VIDEO YAKE YA PROMISE
YAH.... Video imefanyika Mtoni Video Production chini ya Director Lizzo
Jay pia ntakuwa sijafafanya pouwa kama nisipo mshukuru mwanadada Happy
ambae washkaji wangu wamekuwa wakimuita HAPPY PROMISE
huyu mwanadada ndiye video modal kwenye hiyo video ambayo soon itakuwa
kwa hewa ameoonesha uwezo mkubwa sana ndani ya hyo video pia naweza
nikasema yeye nae umuhimu wake umeonekana pale.Thanx a lot.
Mbali na hao pia napenda kuzishukuru baadhi ya kampuni kadhaa za Afrika zinazojitolea kunisapport Da Luminary Cute(South Africa),Endruz Entateinment(Malawi),100 Milion Miles(Ghana) pia World Wide Music Promo na wote wale wanaosaport kile ninachokifanya audio ipo online unaweza ukaipata.
Hayo ndio baadhi ya maneno ya Blouder Montana tulipo fanya nae exclusive online Intaview.
Click here kudownload PROMISE Audio

No comments:
Post a Comment